Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, akipokea salamu ya heshima
ya kijeshi baada ya kuwasili mkoani Tanga, kwa ziara ya kikazi yenye
lengo la kujitambulisha na kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi
hilo, IGP Sirro amewataka askari kufanya kazi kwa weledi na kwa
kuzingatia sheria na taratibu za nchi.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, akikagua kikosi cha
kutuliza ghasia (FFU) baada ya kuwasili mkoani Tanga, kwa ziara ya
kikazi yenye lengo la kujitambulisha na kuzungumza na askari na maofisa
wa Jeshi hilo na kuwataka kufanyakazi kwa weledi na kwa kuzingatia
sheria na taratibu za nchi.
Baadhi
ya askari wa Jeshi la Polisi katika mkoa wa Tanga, wakiwa kwenye
gwaride la kumpokea Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro,
ambaye amewasili mkoani humo kwa ziara ya kikazi yenye lengo la
kujitambulisha na kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo ili kujua changamoto wanazokutana nazo wakati wakitekeleza majukumu yao ya kazi za Kipolisi.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (kushoto), akipokea taarifa
kutoka kwa kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga, SACP Benedict Wakulyamba
(aliyesimama), mara alipowasili katika mkoa huo kwa ziara ya kikazi
yenye lengo la kujitambulisha na kuzungumza na askari na maofisa wa
Jeshi hilo ili kujua changamoto wanazokutananazo wakati wakitekeleza
majukumu yao ya kazi za Kipolisi
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (kushoto), akizungumza na
askari na maofisa wa Jeshi hilo katika mkoa wa Tanga, wakati alipowasili
mkoani humo kwa ajili ya ziara ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha
na kujua changamoto mbalimbali wanazokutananazo wakati wakitekeleza
majukumu yao ya kazi za kipolisi.
Picha na Jeshi la Polisi.
No comments:
Post a Comment