|
Mrakibu
wa Polisi Mkoani Tanga (SP),Bahati Ngoli akifungua mafunzo ya jinsi ya
kushughulika na watoto walio katika ukinzani na Sheria leo ulioandaliwa
na chama cha wanasheria wanawake Tanzania (Tawla) Mkoani Tanga kwenye
ukumbi wa Hotel ya Nyumbani mjini Tanga |
Mratibu wa Chama cha Wanasheria
wanawake Tanzania Mkoani Tanga (Tawla) Latifa Ayoub akisisitiza jambo
wakati wa mafunzo hayo leo
|
Juma Abdallah kutoka Tawla Mkoani wa Tanga
akitoa mada kuhusu wajibu wa familia na jamii kuzuia uhalifu wa
watoto |
Mwanasheria wa Chama cha
Wanasheria wanawake Tanzania Mkoani Tanga,Adolphina Mbekinga akizungumza
wakati akiwasilisha mada ya mfumo wa haki jinai kwa watoto Tanzania na
Taratibu zake (2&3)
|
Mratibu wa dawati la Jinsia na watoto Mkoa
wa Tanga akizungumza katika mafunzo hayo |
|
Mkuu
wa kituo cha Polisi Chumbangeni Mkoani Tanga, Mrakibu Msaidizi wa
Polisi,ASP Saidi Mwagara akifuatilia taarifa mbalimbali wakati wa
mafunzo hayo. |
Mrakibu wa Polisi Mkoani
Tanga (SP),Bahati Ngoli kushoto akichuchukua mada
mbalimbali
Baadhi ya washiriki wa mafunzo
hayo wa pili kutoka kushoto ni Mkuu wa Polisi wilaya ya Tanga (OCD)
akifuatiwa na Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi hilo(SSP) Emanuel
Minja
|
Mratibu
wa Chama cha Wanasheria wanawake Tanzania Mkoani Tanga (Tawla) Latifa
Ayoub kulia akifutilia masuala mbalimbali kwenye semina
hiyo |
Mrakibu wa Polisi Mkoani
Tanga (SP),Bahati Ngoli akifuatilia kulia ni Hakimu Mkazi Mfawidhi
Aziza Lutalla
Mkuu wa kituo cha Polisi
Chumbageni Mkoani Tanga,Saidi Mwagara kushoto ni Mwendesha Mashtaka
wilaya ya Handeni,Selemani Kawambwa wakifuatilia mafunzo
hayo
|
Hakimu Mkazi Hilda Lyatuu kulia katikati ni
Wakili wa Serikali Rebecca Msalangi wakifuatilia mada mbalimbali
kwenye semina hiyo,Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
|
No comments:
Post a Comment