Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli pamoja na mke wake
Mama Janeth Magufuli wakitoa sadaka
wakati wa ibada ya jumapili katika
kanisa la Katoliki la Bikira
MariaParokia ya Chato Mkoani
Geita, julai 16, 2017.
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli na Mkewe Janeth Magufuli wakisikiliza mahubiri toka kwa
Padri Henry Mulinganisa wakati wa
ibada ya jumapili katika kanisa la
Katoliki la Bikira MariaParokia ya
Chato Mkoani Geita, Julai 16 2017.
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli akisisitiza jambo wakati wa
ibada ya jumapili katika kanisa la
Katoliki la Bikira MariaParokia ya
Chato Mkoani Geita, Julai 16, 2017.
Rais
wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
aliyeshika kikapu cha sadaka akipokea sadaka toka kwa Mke wake Bi Janeth
Magufuli wakati wa kuchangia ujenzi na upanuzi wa katika kanisa la
Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita, Julai 16,
2017.
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli aliyeshika kikapu cha sadaka
akipokea sadaka kutoka kwa waumini wakati wa kuchangia
ujenzi na upanuzi wa katika kanisa la
Katoliki la Bikira MariaParokia ya
Chato Mkoani Geita.
Rais
wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa
ameshika kikapu chenye michango ya fedha zilizotolewa na waumini wa
kanisa Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita kwaajili ya
ujenzi na upanuzi wa kanisa hilo, Julai 16, 2017
Rais
wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akimshukuru mmoja wa waumini wa kanisa hilo ndugu Mwita Chacha mara
baada ya kuchangia mifuko mitano ya saruji kwaaajili ya ujenzi na
upanuzi wa kanisa Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita .
Mama
Janeth Magufuli mke wa Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Magufuli akiahidi mchango wake wa ujenzi na upanuzi wa kanisa
Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli akishuhudia mmoja wa
waumini wa kanisa hilo ndugu
Deogratius Ambrosi mwenye ulemavu
wa mkono,akitoa mchango wake wa
kiasi cha shilingi elfu tano kwaajili ya
ujenzi na upanuzi wa kanisa Katoliki la
Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani
Geita
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli akimshukuru mmoja wa
waumini wa kanisa hilo ndugu
Deogratius Ambrosi mwenye ulemavu
wa mkono,akitoa mchango wake wa
kiasi cha shilingi elfu tano kwaajili ya
ujenzi na upanuzi wa kanisa Katoliki la
Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani
Geita
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli akiwashukuru waumini
walioshiki kuchangia ya ujenzi na
upanuzi wa kanisa Katoliki la Bikira
MariaParokia ya Chato Mkoani
Geita,ambapo zilikusanywa kiasi cha
zaidi ya shilingi milioni kumi na tatu
pamoja na ahadi mbalimbali za
vikiwemo vifaa vya ujenzi.
Rais
wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa
nje ya kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita,
ambalo linaendelea kupanuliwa na kujengwa hapo akielekea kuwasalimia
waumini walio kuwa nje ya kanisa na kuwaaga baada ya ibada.
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli akiondoka kwenye kanisa
Katoliki la Bikira Maria Parokia ya
Chato Mkoani Geita, mara baada ya
ibada.
Katibu wa Rais Ndugu Ngusa Samike (kushoto) akikabidhi mchango wa Mhe Rais wa
Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt
John Pombe Joseph Magufuli jumla ya
shilingi milioni kumi kwaajili ya ujenzi
na upanuzi wa kanisa Katoliki la Bikira
MariaParokia ya Chato Mkoani Geita,
Waumini wa kanisa Katoliki la Bikira
Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita
wakiwa kwenye ibada.
Jengo la kanisa Katoliki la Bikira
Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita
linaloendelea kupanuliwa na kujengwa
Waumini wa kanisa Katoliki la Bikira
MariaParokia ya Chato Mkoani Geita
wakitoka kwenye ibada ya jumapili.
(PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment