Kiongozi
wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akifungua rasmi kituo
kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida. Ujenzi wa kituo hicho ulianza
Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo hicho kinaweza
kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja.
Muonekano
wa sehemu ya kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida kikiwa katika
hali ya usafi uliosifiwa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017
Amour Hamad Amour wakati akifungua rasmi kituo hcho. Ujenzi wa kituo
hicho ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo
hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja
Kiongozi
wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akiwa na viongozi wa
Manispaa ya Singida wakisubiria kupanda basi ambalo lilifungua rasmi
huduma ya usafiri wa mabasi katika kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi
Singida. Ujenzi wa kituo hicho ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi
bilioni 3.7 na kituo hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya
70 kwa wakati mmoja.
Kiongozi
wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akiwa na Mkimbiza
Mwenge kitaifa Fredrick Ndahani wakiwa ndani ya basi lililowaingiza
ndani ya kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida kama sehemu ya
uzinduzi wa kituo hicho. Ujenzi wa kituo hicho ulianza Januari 2016,
umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo hicho kinaweza kuhudumia mabasi
makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja.
Kiongozi
wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akishuka kutoka ndani
ya basi lililowaingiza ndani ya kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi
Singida kama sehemu ya uzinduzi wa kituo hicho. Ujenzi wa kituo hicho
ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo hicho
kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja.
Mabasi
na wananchi wa Singida wakianza kutumia rasmi kituo kikuu na cha kisasa
cha mabasi Singida kilichozinduliwa na mwenge wa uhuru 2017. Ujenzi wa
kituo hicho ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na
kituo hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati
mmoja. Kituo hicho kimesifiwa kutokana na kuwa katika hali ya usafi huku
mikoa mingine ikitakiwa kuiga mfano huo.
Kiongozi
wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akiwa na viongozi wa
Manispaa ya Singida wakikagua kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi
Singida. Ujenzi wa kituo hicho ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi
bilioni 3.7 na kituo hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya
70 kwa wakati mmoja.
Muonekano
wa Moja ya Sehemu ya kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida
kilichozinduliwa na mwenge wa uhuru 2017. Ujenzi wa kituo hicho ulianza
Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo hicho kinaweza
kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja.
Kiongozi
wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akikabidhi mizinga
mitano ikiwa ni sehemu ya mizinga 40 kwa timu ya Mpira wa Miguu ya
Stendi Misuna mara baada ya kuzindua kituo kikuu na cha kisasa cha
mabasi Singida. Timu hiyo inayoundwa na wakata tiketi imekuwa ni chachu
ya kuhakikisha kituo hicho kinakua na ulinzi na usalama wa hali wa juu
pamoja na kupinga vitendo vya kuvunja sheria kama utumiaji wa madawa ya
kulevya.
No comments:
Post a Comment