Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na Mwakilishi wa Wazee 400
kutoka Wilaya ya Chato Bi. Winfrida Lawrent(65) kutoka Kata ya Kasenga
kabla ya kuwakabidhi msaada wa vyakula mbalimbali ikiwemo Kilo 10,000 za
Mchele, Kilo 10,000 za Unga wa mahindi, Kilo 4000 Maharage, Mafuta,
Sabuni pamoja na Sukari.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na Mwakilishi wa Wazee 400
kutoka Wilaya ya Chato Bw. AnatoryBisate (64) kabla ya kuwakabidhi
msaada wa vyakula mbalimbali ikiwemo Kilo 10,000 za Mchele, Kilo 10,000
za Unga wa mahindi, Maharage kilo 4000, Mafuta, Sabuni pamoja na Sukari.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwakabidhi kwa pamoja mafuta waakilishi
wa Wazee kutoka kata ya Kasenga AnatoryBisate (64) kulia pamoja na Bi.
Winfrida Lawrent(65) kushoto mara baada ya kuzungumza na wazee 400
katika Ukumbi wa Mshikamano SACCOS Chato mkoani Geita.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akiimba pamoja na wanakwaya wa Mwagazege
mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mshikamano SACCOS Chato mkoani
Geita.
Mama
Janeth Magufuli akiwasili katika eneo la mkutano mara baada ya kupokewa
na Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga Chato
mkoani Geita.
Mama
Janeth Magufuli akiwa na viongozi wengine wa mkoa akiwemo Mkuu wa Mkoa
wa Geita Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga wa kwanza kushoto wakati wa
dua kabla ya kuzungumza na wazee wasiojiweza zaidi ya 400.
Mama
Janeth Magufuli akifurahi pamoja Naibu Waziri wa nishati na Madini Dkt.
Medard Kalemani wakati Kwaya ya Mwakazege ya kutoka Chato ilipokuwa
ikitumbuiza kabla ya kuzungumza wazee wasiojiweza zaidi ya 400.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akizungumza na Wazee wasiojiweza zaidi ya
400 kutoka Wilaya ya Chato katika Ukumbi wa Mshikamano Saccos.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na viongozi
mbalimbali wa mkoa, Wilaya na Chama waliojumuika na Waakilishi wa wazee
wasiojiweza zaidi ya 400 Chato mkoani Geita.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili.
Wazee wakishangilia wakati wa hotuba ya mgeni rasmi. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment