Naibu
waziri ofisi ya Waziri Mkuu anaeshughulikia kazi, Vijana, Ajira na
Wenye Ulemavu, Mhe Anthony Mavunde akikagua ngozi zinazotumika kwenye
mafunzo hayo katika Taasisi ya Teknlojia ya Dar es salaam (DIT) tawi la Mwanza
Naibu
waziri ofisi ya Waziri Mkuu anaeshughulikia kazi, Vijana, Ajira na
Wenye Ulemavu, Mhe Anthony Mavunde akitembelea karakana ya Taasisi ya Teknlojia ya Dar es salaam (DIT) tawi la Mwanza
Naibu
waziri ofisi ya Waziri Mkuu anaeshughulikia kazi, Vijana, Ajira na
Wenye Ulemavu, Mhe Anthony Mavunde akishuhudia sehemu ya vijana hao 1000
kutoka mikoa zaidi ya kumi wakijifunza namna ya kutengeneza viatu
Naibu waziri ofisi ya Waziri Mkuu anaeshughulikia kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe Anthony Mavunde akipata maelezo
Naibu
waziri ofisi ya Waziri Mkuu anaeshughulikia kazi, Vijana, Ajira na
Wenye Ulemavu, Mhe Anthony Mavunde akipata maelezo ya namna ngozi
zinavyoandaliwa
Naibu
waziri ofisi ya Waziri Mkuu anaeshughulikia kazi, Vijana, Ajira na
Wenye Ulemavu, Mhe Anthony Mavunde akipata maelezo akiongea na vijana
hao
Vijana hao wakimsikiliza Naibu waziri ofisi ya Waziri Mkuu anaeshughulikia kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe Anthony Mavunde
Naibu waziri ofisi ya Waziri Mkuu anaeshughulikia kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe Anthony Mavunde akiendelea kuwapa somo vijana hao
Naibu
waziri ofisi ya Waziri Mkuu anaeshughulikia kazi, Vijana, Ajira na
Wenye Ulemavu, Mhe Anthony Mavunde katika picha ya pamoja na vijana hao
pamoja na wakufunzi wao
Naibu
waziri ofisi ya Waziri Mkuu anaeshughulikia kazi, Vijana, Ajira na
Wenye Ulemavu, Mhe Anthony Mavunde amefungua mpango wa mafunzo ya ufundi
wa kisasa wa kutengeneza viatu kwa njia za kisasa kwa vijana 1000
wanaotaka mikoa zaidi ya kumi nchini.
Akizundua
mpango huo katika karakana ya viatu na bidhaa za ngozi ya Taasisi ya
Teknlojia ya Dar es salaam (DIT) tawi la Mwanza, Mhe Mavunde, amesema
mpango huo unalenga kuwajengea uwezo wa kujiajiri vijana na pia kutumia
bidhaa zitokanazo na mazao ya mifugo kwa ajili ya kuzalisha viatu na
bidhaa za ngozi nchini.
Amesema,
serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli imejipanga
kuhakikisha inatekeleza azma ya ujenzi wa viwanda kwa kuwajengea uwezo
vijana ambao ni nguvu kazi ya taifa katika kujiandaa na mfumo wa
mapinduzi ya viwanda ambavyo vimeshaanza kujengwa nchini.
Aidha amewataka vijana kutochagua kazi au kubweteka kuwa kazi rasmi ni
zile za ajira ya moja kwa moja serikali au sekta binafsi, amewataka
vijana kubadilisha mtazamo wa maaana ya Ajira kwa kutokukaa na kusubiri
nafasi za ajira.
Amesema mpango huu wa miaka mitano unalenga kuwafikia vijana zaidi ya
milioni 4 nchini katika kuwajengea uwezo ambao utawafanya kujiajiri au
kuajiriwa katika Tanzania ya viwanda.












Post a Comment