Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Wachezaji wa Timu ya SMZ katika Ufunguzi wa Michezo ya
Majeshi ya 1i kwa mwaka 2017 (BAMATA) yaliyofanyika Uwanja wa Amaan
Mjini Unguja leo.
Maaskari
wa Vikosi mbali mbali vya Ulinzi na Usalama wakiwa katika uwanja wa
Amaan Studium Mjini Unguja katika sherehe za Ufunguzi wa Michezo ya
Majeshi ya 17 kwa mwaka 2017yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Maaskari
wa Vikosi mbali mbali vya Ulinzi na Usalama wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa
Michezo ya Majeshi ya 17 kwa mwaka 2017 katika uwanja wa Amaan Studium
Mjini Unguja katika sherehe zilizofanyika leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) wakiangalia ratiba Ufunguzi wa Michezo ya Majeshi ya 17 kwa
mwaka 2017 (BAMATA) na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali
Venance S. Mabeyo (kushoto) katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja
katika sherehe zilizofanyika leo (kulia) Waziri wa Ulinzi Majeshi ya
Kujenga Taifa Mhe,Dkt.Hussein Mwinyi.
Kikosi
cha Maaskari Kanda ya JKT wakipita mbele ya Mgeni rasmi Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na
kutoa heshima wakati ufunguzi wa Michezo ya Majeshi ya 17 ya mwaka 2017
(BAMATA)katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja katika sherehe
zilizofanyika leo.
Maaskari
wakiimba wimbo maalum wakati wa ufunguzi wa Michezo ya Majeshi ya 17 ya
mwaka 2017 (BAMATA)katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja katika
sherehe zilizofanyika leo.
Kikosi
cha Maaskari Jeshi la Wananchi JWTZ Kanda ya Ngome wakipita mbele ya
Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein na kutoa heshima wakati ufunguzi wa Michezo ya Majeshi ya
17 ya mwaka 2017 (BAMATA)katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja
katika sherehe zilizofanyika leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Michezo ya Majeshi ya 17 kwa
mwaka 2017 leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,Mkoa wa
Mjini Magharibi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Michezo ya Majeshi ya 17 kwa
mwaka 2017 leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,Mkoa wa
Mjini Magharibi, [Picha na Ikulu] 18 /03/2017.

Post a Comment