![]() |
| Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akipiga Push-Up za kutosha. |
![]() |
| Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha,Charles Mkumbo(kushoto) na Mkuu wa wilaya ya Arusha,Gabriel Daqarro nao hawakua nyumba katika kuonyesha ukakamavu wao.Picha zote na Filbert Rweyemamu |
![]() |
| Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo(katikati) akiongoza mazoezi mepesi akiwa na viongozi wengine. |
![]() |
| Umati uliojitokeza kushiriki mazoezi ya viungo kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. |
![]() |
| Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha,Charles Mkumbo(kati)akipasha pamoja na wananchi |
![]() |
| Furaha ya ushindi wa kuvuta kamba |
![]() |
| Wadau katika halmashauri ya Jiji la Arusha walioshiriki mazoezi ya viungo. |
![]() |
| Furaha ya ushindi wa kuvuta kamba |
![]() |
| Mazoezi ya wanafunzi yakiendelea na mwalimu |
![]() |
| Mashindano ya kukimbia Yai likiwa kwenye Kijiko yamevutia wengi. |












Post a Comment