Mahakama
ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imewahukumu kifungo cha miaka 20 jela Peter
Kabi na mkewe Leonida Loi Kabi, kwa kukutwa na meno ya tembo 210 yenye
uzito wa kilo 450.6 pamoja na mifupa mitano ya tembo.Meno hayo yanayodaiwa kuwa ni sawa na idadi ya tembo 93 waliouwawa, yalikutwa nyumbani kwa washtakiwa hao tarehe 27 Oktoba, 2012 eneo la Kimara Stop Over Jijini Dar es Salaam.

Post a Comment