![]() |
| Meneja wa Kampuni ya Monsanto nchini,Frank Wenga(kulia)akizungumza na wakulima waliofika kwenye maonesho hayo kujifunza mbinu za kilimo chenye tija. |
![]() |
| Wakulima kutoka maeneo mbalimbali wakipata elimu ya matumizi ya kilimo bora na chenye tija. |
![]() |
| Wakulima wakipata maelezo kutoka kwa wataalamu namna ya kupata mazao bora |
![]() |
| Mmoja wa wakulima wakiangalia mazao yaliyostawisha kwa kufuata kanuni za kilimo |
![]() |
| Mkuu wa wilaya ya Arusha,Gabriel Daqarro akifungua maonesho ya siku mbili ya kimataifa unaofanyika kwenye viwanja vya taasisi ya Utafiti wa Kilimo Selian(Sari)jijini Arusha. |
![]() |
| Sehemu ya mitambo iliyopo tayari kwaajili ya wakulima. |








Post a Comment