Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi la Shirika la
Maendeleo la Taif (NDC), Samuel Nyantahe baada ya kuwasili kwenye
ueneo la mgodi wa Liganga wilayani Ludewa kukagua maendeleo ya hatua
muhimu zitakazowezesha kazi uchimbaji chumakuanza haraka.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Naibu Mtendaji Mkuu wa
Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Eric Mwingira kuhusu sampuli ya
chuma kilichogunduliwa katika mgodi wa Liganga wakati alipotembelea
mgodi huo Januari 26, 2017.

Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mlima utaoelezewa na watalaamu kuwa
uana hazina kubwa ya madini ya chuma wakati alipotembelea mgodi wa chuma
wa Liganga wilayani Ludewa Januari 26, 2017. Kulia kwake ni Mkuu wa
Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea eneo lenye mlima anaoelezewa na
watalaamu kuwa una hazina kubwa ya madini ya chuma wakati alipotembelea
mgodi wa chuma wa Liganga wilaya Ludea Januari 26, 2017. Kushoto kwake
ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Taifa (NDC), Samuel
Nyantahe.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea eneo lenye mlima anaoelezewa na
watalaamu kuwa una hazina kubwa ya madini ya chuma wakati alipotembelea
eneo la mgodi a wa chuma wa Liganga wilaya Ludea januari 26, 2017. Kulia
kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka na Kushoto
kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Taifa (NDC),
Samuel Nyantahe.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua eneo lenye mlima anaoelezewa na
watalaamu kuwa una hazina kubwa ya madini ya chuma wakati alipotembelea
eneo la mgodi a wa chuma wa Liganga wilayani Ludewa januari 26, 2017.
Wapili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Taifa
(NDC), Samuel Nyantahe na kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe,
Christopher Ole Sendeka.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikaguaeneo lenye mlima anaoelezewa na
watalaamu kuwa una hazina kubwa ya madini ya chuma wakati alipotembelea
eneo la mgodi a wa chuma wa Liganga wilayani Ludewa januari 26, 2017.
Wapili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Taifa
(NDC), Samuel Nyantahe na kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe,
Christopher Ole Sendeka
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea eneo lenye mlima anaoelezea na
watalaamu kuwa una hazina kubwa ya madini ya chuma wakati alipotembelea
eneo la mgodi wa chuma wa Liganga wilayani Ludewa Januari 26, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akifuhia wimbo wa kikundi cha ngoma cha kijiji
cha Mundindi wialyani Ludewa wakati alipokwenda kijijini hapo kukagua
maendeleo ya mgodi wa chuma wa Liganga Januari 26, 2017.
Wanawake
wa kijiji cha mundindi wilayani Ludewa wakimsikiliza Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa wakati alipowahutubia baada ya kukagua mgodi wa chuma
wa Liganga Januari 26, 2017.
Mlima
wenye mwamba ambao watalaamu wa madini wameeleza kuwa kwa zaidi ya
asilimia 60 una madini ya chuma katika eneo la Liganga
lililotembelewa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Januari 26, 2017.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment