Balozi
wa Finland nchini Bw. Pekka Hukka akifafanua jambo kwa Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa alipomtembelea
ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akizungumza
na ujumbe kutoka Finland kuhusu fursa mbalimbali zilizo kwenye Sekta ya
miundombinu ulipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Kushoto
ni Katibu Mkuu wa Sekta ya Uchukuzi Dr. Leonard Chamuriho
Waziri
wa Biashara za Nje na Maendeleo kutoka Finland, Kai Mykkanen (kulia)
akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa
Makame Mbarawa (katikati), wakati ujumbe huo ulipomtembelea ofisini
kwake jijini Dar es Salaam.
Ujumbe kutoka Finland
ukimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa
wakati ulipomtembelea ofisini kwake kujadili fursa mbalimbali za Sekta ya
Miundombinu.

Post a Comment