MAADHIMISHO YA WIKI YA UTALII DUNIANI KWA NYANDA ZA JUU KUSINI KUHITIMISHWA LEO KATIKA VIWANJA VYA KICHANGANI MJINI IRINGA...

Waziri wa Maliasili na Utalii Profesa Jumanne Magembe wapili kutoka kulia akikata Utepe siku ya uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Utalii Duniani, kwa nyanda za juu kusini yamefanika mjini Iringa katika Viwanja vya Kichangani na kufungwa hii leo.
Waziri Magembe kulia akifurahia Jambo pindi alipo kuwa akitembelea katika baadhi ya mabanda ya Wadau wa Utalii walio jitokeza katika Viwanja hivyo Mjini Iringa.
Waziri Magembe akipokea moja ya Zawadi kutoka kwenye kampuni ya Ivori Ya Mjini Iringa inayo fanya vyema katika kuzalisha bidhaa mbalimbali ikiwemo Pipi za Ivori.
Picha Zote na Mr.Pengo wa MMG Nyanda za juu Kusini.

 Picha Zote hizi ni za Siku ya Uzinduzi 

Post a Comment

Previous Post Next Post