Mtagazaji
wa BBC Swahili Zuhra Yunus (kushoto) akifanya mahojiano na mkazi wa DMV
Asha Hariz Siku ya Jumanne Novemba 8, 2016 ya uchaguzi wa rais wa
Marekani katika mgahawa wa Swahili Village.
Kulia
ni Mtangazaji wa luniga wa Azam Tv Charles Hillary akifanya mahojiano
na Iddi Ligongo (kushoto) na Mzee Boaz siku ya Jumanne Novemba 8, 2016
ya uchaguzi wa rais wa Marekani katika mgahawa wa Swahili Village.
Kutoka
kushoto ni Nambai mkazi wa DMV akifanyiwa mahojiano na mtangazaji wa
siku nyingi ambaye kwa sasa yupo Azam TV Charles Hillary (kulia) siku ya
Jumanne Novemba 8, 2016 ya uchaguzi wa rais wa Marekani katika Studio
za Kilimanjaro zilizopo Beltsville, Maryland, Kati ni Mtagazaji
aliyobobea na maswala ua utangazaji na DMV Mubelwa Bandio.
kushoto
ni Nambai mkazi wa DMV Alawi akifanyiwa mahojiano na mtangazaji wa siku
nyingi ambaye kwa sasa yupo Azam TV Charles Hillary (kulia) siku ya
Jumanne Novemba 8, 2016 ya uchaguzi wa rais wa Marekani katika Studio za
Kilimanjaro zilizopo Beltsville, Maryland, Kati ni Mtagazaji aliyobobea
na maswala ua utangazaji na DMV Mubelwa Bandio.
kushoto
ni Nambai mkazi wa DMV Dotto akifanyiwa mahojiano na mtangazaji wa siku
nyingi ambaye kwa sasa yupo Azam TV Charles Hillary (kulia) siku ya
Jumanne Novemba 8, 2016 ya uchaguzi wa rais wa Marekani katika Studio za
Kilimanjaro zilizopo Beltsville, Maryland, Kati ni Mtagazaji aliyobobea
na maswala ua utangazaji na DMV Mubelwa Bandio.
Kushoto ni Mashaka akipata picha na John Mbele
kushoto
ni Dotto Haruba mkazi wa DMV Alawi akifanyiwa mahojiano na mtangazaji
wa siku nyingi ambaye kwa sasa yupo Azam TV Charles Hillary (kulia) siku
ya Jumanne Novemba 8, 2016 ya uchaguzi wa rais wa Marekani katika
Studio za Kilimanjaro zilizopo Beltsville, Maryland, Kati ni Mtagazaji
aliyobobea na maswala ua utangazaji na DMV Mubelwa Bandio.
kushoto
ni Mashaka mkazi wa DMV Alawi akifanyiwa mahojiano na mtangazaji wa
siku nyingi ambaye kwa sasa yupo Azam TV Charles Hillary (kulia) siku ya
Jumanne Novemba 8, 2016 ya uchaguzi wa rais wa Marekani katika Studio
za Kilimanjaro zilizopo Beltsville, Maryland, Kati ni Mtagazaji
aliyobobea na maswala ua utangazaji na DMV Mubelwa Bandio.
Kushoto ni Pius Alawi mkazi
wa DMV akifanyiwa mahojiano na mtangazaji wa siku nyingi ambaye kwa
sasa yupo Azam TV Charles Hillary (kulia) siku ya Jumanne Novemba 8,
2016 ya uchaguzi wa rais wa Marekani katika Studio za Kilimanjaro
zilizopo Beltsville, Maryland, Kati ni Mtagazaji aliyobobea na maswala
ua utangazaji na DMV Mubelwa Bandio.

Post a Comment