Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembelea
bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016 akiwa ameongozana
na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa,
Katibu Mkuu Uchukuzi i Dkt Leonard Chamriho na uongozi wa Bandari

Katibu Mkuu Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho na uongozi wa Bandari
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipungia
wafanyakazi waliokuwa wakimshangilia wakati akitembelea bandari ya Dar
es salaam leo Septemba 26, 2016 akiwa ameongozana na Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Katibu Mkuu Uchukuzi
Dkt Leonard Chamriho na uongozi wa Bandari
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembelea
bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016 akiwa ameongozana
na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa,
Katibu Mkuu Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho na uongozi wa Bandari
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembelea
bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016 akiwa ameongozana
na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa,
Katibu Mkuu Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho na uongozi wa Bandari
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata
maelezo kutoka kwa Meneja wa Kitengo cha Kontena wa Kampuni ya Ushushaji
Shehena ya makasha Bandarini ya Tanzania International Container
Terminal (TICTS) Bw. Donald Talawa alipotembelea bandari ya Dar es
salaam leo Septemba 26, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitoa
maelekezo kwa Meneja wa Kitengo cha Kontena wa Kampuni ya Ushushaji
Shehena ya makasha Bandarini ya Tanzania International Container
Terminal (TICTS) Bw. Donald Talawa alipotembelea bandari ya Dar es
salaam leo Septemba 26, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitoa mapendekezo kwa Kampuni ya Ushushaji Shehena ya makasha Bandarini ya Tanzania International Container Terminal (TICTS). Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya mapato tanzania (TRA) Bw. Alphayo Kadata
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata
maelezo kutoka kwa Meneja wa Kitengo cha Kontena wa Kampuni ya Ushushaji
Shehena ya makasha Bandarini ya Tanzania International Container
Terminal (TICTS) Bw. Donald Talawa alipotembelea bandari ya Dar es
salaam leo Septemba 26, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Mary Mhayaya kuhusu uthibiti
wa kiwango cha mafuta yanayoingia nchini kutoka kwenye meli (Oil Flow
Meter) katika bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa kuhusu zoezi la uthibiti

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo toka kwa Mhandisi Mary Mhayaya wakati akikagua
sehemu ya kupimia kiwango cha mafuta yanayoingia nchini kutoka kwenye
meli (Flow Meter) katika bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikagua
sehemu ya kupimia kiwango cha mafuta yanayoingia nchini kutoka kwenye
meli (Flow Meter) katika bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitoa
maelekezo kuhusu uendeshaji wa sehemu ya kupimia kiwango cha mafuta
yanayoingia nchini kutoka kwenye meli (Flow Meter) katika bandari ya
Dar es salaam leo Septemba 26, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongozwa na Mhandisi Mary Mhayaya kuhusu akikagua mtambo wa uthibiti
wa kiwango cha mafuta yanayoingia nchini kutoka kwenye meli (Oil Flow
Meter) katika bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Mary Mhayaya kuhusu chumba
cha mitambo ya uthibiti wa kiwango cha mafuta yanayoingia nchini
kutoka kwenye meli (Oil Flow Meter) katika bandari ya Dar es salaam leo
Septemba 26, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata
maelezo ya chumba cha ukaguzi wa mizigo (scanner) inayoingia nchini
katika bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016

Wafanyakazi
wa bandari ya Dar es salaam wakimlaki kwa furaha Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli alipofika kuongea nao baada
ya kutembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016
Mwenyekiti
wa Wafanyakazi wa Bandarini Bw. Mashaka Karume akieleza baadhi ya
changamoto wanazokabiliana nazo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea bandari ya Dar es salaam
leo Septemba 26, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na
wafanyakazi wa bandari baada ya kutembelea bandari ya Dar es salaam leo

Septemba 27, 2016

wa bandari ya Dar es salaam wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli alipofika kuongea nao baada ya
kutembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016
No comments:
Post a Comment