Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa
na Padri Jackson Sosthenes (kushoto) na Padri Johnson Lameck wakati
alipowasili katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es
salaam kushiriki katika Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya
19 baada ya Pentekoste asubuhi ya Septemba 26, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na
mkewe Mama Janeth Magufuli wakishiriki katika Ibada ya Jumapili
kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya
Septemba 26, 2016.

Waumini
wakipokea baraka katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini
Dar es salaam wakati wa Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya
19 baada ya Pentekoste asubuhi ya Septemba 26, 2016.
Mpiga
kinanda Bw. Charles Mang'enya akielekeza wimbo kwa waumini katika
kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam wakati wa
Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste
asubuhi ya Septemba 26, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe
Mama Janeth Magufuli wakishiriki kutoa sadaka katika kanisa la Anglikana
la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam wakati wa Ibada ya Jumapili
kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya
Septemba 26, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na
mkewe Mama Janeth Magufuli wakipeana mikono na waumini wengine katika
kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam wakati wa
Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste
asubuhi ya Septemba 26, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na
mkewe Mama Janeth Magufuli wakipokea Sakramenti Takatifu katika kanisa
la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam wakati wa Ibada
ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi
ya Septemba 26, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na
mkewe Mama Janeth Magufuli akisalimia waumini katika kanisa la Anglikana
la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam baada ya Ibada ya Jumapili
kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya
Septemba 26, 2016.
Sehemu
ya waumini katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es
salaam baada ya Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19
baada ya Pentekoste asubuhi ya Septemba 26, 2016.
Baadhi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimpatia Bw. Charles Mang'enya shilingi milioni kama zawadi kwa vikundi
vya kwaya vya kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es
salaam baada ya Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada
ya Pentekoste asubuhi ya Septemba 26, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na baadhi ya waumini wa kanisa la Anglikana la Mtakatifu
Albano jijini Dar es salaam baada ya Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku
ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya Septemba 26, 2016.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimia waumini wa kanisa la Anglikana
la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam baada ya Ibada ya Jumapili
kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya
Septemba 26, 2016.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na Padri Thomas Godda na
Padri Johnson Godda katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano
jijini Dar es salaam baada ya Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya
Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya Septemba 26, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiteta
jambo na Padri Mstaafu Gideon Gweja katika kanisa la Anglikana la
Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam baada ya Ibada ya Jumapili
kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya
Septemba 26, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na baadhi ya waumini wa kanisa la Anglikana la Mtakatifu
Albano jijini Dar es salaam baada ya Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku
ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya Septemba 26, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Watoto Watumikiaji wa kanisa la Anglikana la Mtakatifu
Albano jijini Dar es salaam baada ya Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku
ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya Septemba 26, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na
mkewe Mama Janeth Magufulia katika picha ya kumbukumbu na mapadri na
watoto watumikiaji wa kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini
Dar es salaam baada ya Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya
19 baada ya Pentekoste asubuhi ya Septemba 26, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na baadhi ya waumini wa kanisa la Anglikana la Mtakatifu
Albano jijini Dar es salaam baada ya Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku
ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya Septemba 26, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipozi kwa picha na baadhi ya waumini wa kanisa la Anglikana la
Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam baada ya Ibada ya Jumapili
kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya
Septemba 26, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia
mkono waumini wa kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es
salaam baada ya Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada
ya Pentekoste asubuhi ya Septemba 26, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe
wakipozi kwa picha na baadhi ya familia za waumini wa kanisa la
Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam baada ya Ibada ya
Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya Septemba 26, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na baadhi ya waumini wa kanisa la Anglikana la Mtakatifu
Albano jijini Dar es salaam baada ya Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku
ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya Septemba 26, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na baadhi ya waumini wa kanisa la Anglikana la Mtakatifu
Albano jijini Dar es salaam baada ya Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku
ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya Septemba 26, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
waumini wa kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es
salaam baada ya Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada
ya Pentekoste asubuhi ya Septemba 26, 2016.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment