Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipanda
kwenye gorofa ya kwanza katika mojawapo ya mabweni yanayojengwa na
Wakala wa Majengo nchini TBA katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Mabweni hayo yatakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya 3840 kwa
wakati mmoja na yatakamilika mwezi wa kumi na mbili.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata
maelezo kuhusu ujenzi wa mabweni hayo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala
wa Majengo(TBA) Arch. Elius Mwakalinga, Mabweni hayo yatakuwa na uwezo
wa kuchukua wanafuzi zaidi ya 3840.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata
maelezo kuhusu ujenzi wa mabweni hayo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala
wa Majengo Arch. Elius Mwakalinga. Mabweni hayo yatakuwa na uwezo wa
kuchukua wanafuzi zaidi ya 3840.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako wakiangalia kwa furaha
maendeleo ya ujenzi wa mabweni hayo unavyoendelea kwa kasi katika
viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua
baadhi ya maeneo katika gorofa ya kwanza ya moja ya mabweni hayo katika
eneo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
mara baada ya kukagua ujenzi wa mabweni katika Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi waojenga mabweni hayo kutoka
kwa Wakala wa Majengo nchini TBA. Wengine katika picha ni Mkuu wa Mkoa
wa Dar es Salaam Paul Makonda, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia
Prof. Joyce Ndalichako, Mtendaji Mkuu wa TBA Arch. Elius Mwakalinga,
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Joseph Nyamhanga, Mkuu wa
Wilaya ya Ubungo Hamfrey Polepole.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi waojenga mabweni hayo kutoka
TBA.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Aggrey Tisa Sabuni Mjumbe maalum wa Rais wa Sudani
Kusini aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo na kuwasilisha ujumbe
kutoka kwa Rais huyo wa Sudan kusini.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea
ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Burudi uliowasilishwa kwake na Alain
Nyamitwe Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi Ikulu jijini Dar es Salaam.
Picha na IKULU.
No comments:
Post a Comment