Baadhi
ya Wabunge wakiingia katika ukumbi wa bunge kuhudhuria mkutano wa
nne(4) wa bunge la kumi na moja (11) la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
leo Mjini Dodoma.
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiingia
kwenye ukumbi wa Bunge kwa ajili ya kuendesha mkutano wa nne(4) wa
bunge la kumi na moja (11) la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini
Dodoma.
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai Akiwaongoza
Wabunge wa kuimba wimbo wa Taifa wakati wa mkutano wa nne(4) wa bunge
la kumi na moja (11) la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini
Dodoma.
Wabunge
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa katika ukumbi wa
bunge wakati wa mkutano wa nne(4) wa bunge la kumi na moja (11) la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Mwanasheria
Mkuu wa Serikali Mhe. George Masaju akimueleza jambo Waziri Mkuu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa wakati wa mkutano
wa nne(4) wa bunge la kumi na moja (11) la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania leo Mjini Dodoma
.Naibu
Waziri, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe. Selemani Said Jafo (MB) akieleza
mpango wa kuendelea kuimarisha hospitali za Serikali Nchini.
Katibu
wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akiwaeleza jambo Mwanasheria Mkuu wa
Serikali Mhe. George Masaju na Waziri Wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu
Kazi, Ajira, Vijana,Wazee na Wenye Ulemavu wakati wa mkutano wa nne(4)
wa bunge la kumi na moja (11) la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo
Mjini Dodoma.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape
Nnauye (MB) akieleza mipango ya Serikali katika
kuimarisha michezo nchini na kuwataka wadau mbalimbali
kujitokeza kusaidiana na Serikali
kuwekeza katika Michezo.
Mbunge
wa Jimbo la Chemba Mhe. Juma Nkamia akiwaeleza jambo Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (MB) na Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Makamu wa Rais(Muungano na Mazingira) Mhe. January Makamba
(MB), wakati wa mkutano wa nne(4) wa bunge la kumi na moja (11) la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO.
No comments:
Post a Comment