| Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Group wakisafishwa kucha za miguu pamoja na kupakwa rangi kwenye burudani za siku ya familia |
| Wototo wa wafanyakazi walicheza michezo mbalimbal |
| Watoto wakiweza kujibu maswali ya ufahamu na kujishindia zawadi |
| Zoezi la Afya Kwanza lilitekelezwa kwa vitendo |
| Baadhi ya wafanyakazi na família zao wakipata misosi |
| Baadhi ya watoto wa wafanyakazi wakijinafasi kwa kuogelea |
Wana msondo wakimwaga burudani kwa wafanyakazi wa TBL Group
|
Msanii maarufu wa vichekesho Joti alikuwepo kumwaga burudani
|
| Burudani tele za muziki zilikuwepo |
| Burudani tele za muziki zilikuwepo |

Post a Comment