Mkurugenzi
wa Majanga wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Uphoo Swai, akimkabidhi
Kitambulisho Clara Benard, mmoja kati ya wanachama wapya waliojiunga na
Mfuko wa PPF kupitia huduma ya Wote Scheme, katika Banda la PPF kwenye
Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye Viwanja vya
Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo. Picha na Mafoto Blog
Meneja
Uhusiano Lulu Mengele na Meneja Masoko Elihuruma Ngowi wa Mfuko wa
Pensheni wa PPF, wakiwahudumia baadhi ya wanachama waliojiunga na huduma
ya Wote Scheme, katika Banda la PPF.
Mkurugenzi
wa Majanga wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Uphoo Swai, akimkabidhi
Kitambulisho Mwita Bony, mwanachama mpya aliyejiunga na Mfuko wa PPF.
Afisa Uendeshaji wa Kanda ya Temeke, Sosteness Lyimo, akiwahudumia baadhi ya wananchi waliotembelea Banda la PPF leo.
Mkurugenzi
wa Majanga wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Uphoo Swai, akimkabidhi
Kitambulisho Mtani Manoko, mwanachama mpya aliyejiunga na Mfuko wa PPF.
Mkurugenzi
wa ukaguzi wa ndani wa PPF, Bw. Hosea Kashimba (kushoto) na Mkurugenzi
wa Majanga, Uphoo Swai (kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi
ya wanachama wapya waliojiunga na Mfuko wa PPF leo.
Maafisa wa Mfuko wa PPF, Mwajuma Msina na Pauline Msanga, wakiwahudumia wateja waliotembelea kwenye Banda hilo, leo.
Maafisa wa Mfuko wa PPF, wakiwahudumia wateja waliofika kujua michango yao.
Mkurugenzi
wa Majanga wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Uphoo Swai, akimkabidhi
Kitambulisho Filipa Sylvester, mwanachama mpya aliyejiunga na Mfuko wa
PPF.
Mkurugenzi
wa ukaguzi wa ndani wa PPF, Bw. Hosea Kashimba (wa saba kutoka kulia)
na Mkurugenzi wa Majanga, Uphoo Swai (wa saba kutoka kushoto) wakiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Mfuko wa PPF wakiwa
na Tuzo yao waliyokabidhiwa kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa.










Post a Comment