![]() |
| Mkurugenzi wa halmashauri ya Jiji la Arusha(CD),Athuman Juma akizungumza namna jinsi walivyojipana kukusanya mapato kwanjia za kieletroniki na mashine za EFD's kuhakikisha mapato hayapotei. |
![]() |
| Mwandishi wa habari wa gazeti la Mtanzania,Eliya Mbonea akiuliza swali. |
![]() |
| Mkurugenzi wa halmashauri ya Jiji la Arusha(CD),Athuman Juma akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo |
![]() |
| Waandishi wa habari wakiwa makini kuchukua taarifa hiyo |
![]() |
| Waandishi wa habari wakiwa makini kuchukua taarifa hiyo |
![]() |
| Afisa Habari Mwandamizi wa Jiji la Arusha,Nteghenjwa Hoseah akizungumza jambo baada ya mkutano huo. |








Post a Comment