KAMPUNI YA MBEGU YA SEED CO YAJIKITA KUWAELIMISHA WAKULIMA MATUMIZI SAHIHI YA MBEGU BORA

Meneja Mauzo wa Kampuni ya Mbegu ya SEED CO, Daniel Mwambugi  akitoa maelezo juu ya Mbegu za mahindi za kampuni hiyo zinazostahimili ukame na kumuwezesha mkulima kupata mavuno mengi katika shamba darasa lilipo Kata ya King`ori wilaya ya Arumeru mkoani Arusha.

Meneja Mauzo wa Kampuni ya Mbegu ya SEED CO yenye makao yake jijini Arusha akizungumza na wakulima.

Meneja Mauzo wa Kampuni ya Mbegu ya SEED CO yenye makao yake jijini Arusha akizungumza na wakulima
Wakulima wakiwasikiliza  watalaamu wa mbegu kati siku ya wakulima iliyofanyika hivi karibuni .

Moja ya shamba la mfano kwa wakulima ambalo linatumika kuwapa elimu sahihi ya matumizi bora ya mbegu ili kuvuna mavuno bora na mengi.


Post a Comment

Previous Post Next Post