MWANAMUZIKI
wa Bongo Fleva na Balozi wa Red-Gold hapa nchini, Abdul Nasibu
(Diamond Platnum), Amewakabidhi zawadi za washindi wa shindano shinda
Mamilioni na la Red-Gold la wiki jijini Dar es Salaam leo.
Shindano
hilo la 'Shinda milioni na Red Gold' lenye kauli mbiu ya Ladha na
Mtonyo lililoanza kushindaniwa wiki iliyopita na kupata washindi wawili
wa milioni 1 na wawili wa laki 5 na wengine laki moja.![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhjhp4LCjwCKHMUnHXTTAkJhTNrmTtGR7VQiM913zjAmgOp4Y1Iaq03gOX9oT0ZX2HGpfYS5_lXMxHcfJm5TbICJm-4Si8Et0r-iwXqqGCbWXlOVNiEy3orNKuIn9Xr98hyW6vGVck3FbNV/s640/DSCF0372.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhjhp4LCjwCKHMUnHXTTAkJhTNrmTtGR7VQiM913zjAmgOp4Y1Iaq03gOX9oT0ZX2HGpfYS5_lXMxHcfJm5TbICJm-4Si8Et0r-iwXqqGCbWXlOVNiEy3orNKuIn9Xr98hyW6vGVck3FbNV/s640/DSCF0372.jpg)
Mkurugenzi
wa Masoko wa Kampuni inayotengeneza Matunda na mbogamboga M/s Darsh,
Darsh Pandit akizungumza jijini Dar es Salaam leo katika hafla fupi ya
kuwakabidhi washindi wa wiki wa shindano la Ladha na Mtonyo lililokuwa
likijumuisha watumiaji wa bidhaa za Red Gold.
Mkuu
wa Masoko na Biashara, Dominicus Ulikaye akizungumza katika hafla ya
kuwakabidhi washindi wa shindano la Ladha na Mtonyo lililokuwa
likishindanisha walaji wa bidhaa za Red- Gold ambapo mshindi anaweza
kujishindia shilingi milioni moja mapaka Laki moja kwa kutumia bidhaa
hizo.
Kushiriki ni kununua Bidhaa za Red Gold na kutazama kwenye kifuniko namba na kuzituma kutuma kwenda kwenye kampuni husika.
Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni M/S Darsh Industries Limited inayotoa bidhaa za Red
Gold, Badrish Pandit akizungumza katika hafla fupi ya kuwakabidhi zawadi
washindi wa shindano la 'Shinda milioni na Red Gold' lililokuwa
kikishindanishwa kwa kutumia bidhaa za Red Gold jijini Dar es Salaam.
Mwanamuziki wa
Bongo Fleva na Balozi wa Red-Gold hapa nchini, Abdul Nasibu (Diamond
Platnum) akizungumza kabla ya kuwakabidhi zawadi washindi wa shindano
la'Shinda milioni na Red Gold' jijini Dar es Salaam leo. Shindano hilo
lililuwa likishindanishwa kwa kununua bidhaa za Red Gold na kufungua
Kizibo kuangalia kama umeshinda kwa kutuma namba zilizo kwenye kizibo
hicho.
Mwanamuziki wa
Bongo Fleva na Balozi wa Red-Gold hapa nchini, Abdul Nasibu (Diamond
Platnum) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhy2vSNhbE1GR5ZCMo0jzYSe3PxamZZ45_mIG6e7QCopPU6UEMA7SEd2qS8JeS03IaIw7SPxAJek-86EL7on1k2oMv5kipQWLM_zyeRT8XV-UYtkqn0Y5uTNJ4MxCeOMuiUnQU5YLvhaRRL/s640/DSCF0368.jpg)
Mwanamuziki
wa Bongo Fleva na Balozi wa Red-Gold hapa nchini, Abdul Nasibu
(Diamond Platnum) akiwakabidhi washindi wa shindano la 'Shinda Milioni
na Red Gold' jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment