Mgeni
Rasmi katika Maonesho ya Wakulima na Wafugaji,Mkuu wa Idara ya Utumishi
na Utawala manispaa ya Moshi,Wencelaus Lindi akitia saini katika kitabu
cha wageni mara baada ya kutembelea banda la Benki ya NMB katika
maeonesho hayo yanayofanyika katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika
mjini Moshi.
Meneja
Mwandamizi wa Mahusiano ya biashara na Kilimo wa Benki ya NMB,Oscar
Rwechungura (aliyenyoosha kidole) akitoa maelezo kwa mgeni rasmi
,Wencelaus Lindi (aliyekunja mikono) katika maonesho ya Wakulima na
Wafugaji yaliyoandaliwa na Mtandao wa kusaidia wakulima wa AgriProFocus.
Meneja
wa Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela mjini Moshi,Emanuel Kashusho
akikabidhi zawadi ya T-shirt ,Kalamu na Key holder kwa mgeni rasmi
,Wencelaus Lindi mara baada ya kutembelea banda la Benki hiyo na kupata
maelezo namna inavyoshirikiana na wakulima katika kukuza mitaji yao.
Mgeni
rasmi ,Wencelaus Lindi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
wafanyakazi wa Benki ya NMB pamoja na wananchi wengine waliofika
kutembelea banda la NMB.
Post a Comment