Pages

February 10, 2016

Picha 3 za ajali ya Kontena lililoangukia daladala na gari ndogo leo Feb 10 Dar

Habari zilizoenea kwa kiasi kikubwa kwa watumiaji wa barabara ya Mandela  jijini Dar Es Salaam ni kuhusiana na ajali iliyotokea ya kontena kuangukia basi dogo la abiria maarufu kama daladala na gari ndogo. Ajali hiyo kwa taarifa za awali inatajwa kutokea maeneo yaTabatarweyemamuinfo itakupa  taarifa kamili ili kukuletea habari za uhakika zaidi ila hizi ni picha za mwanzo kuhusu ajali hiyo
IMG-20160210-WA0007
IMG-20160210-WA0009

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...