Pages

February 11, 2016

KIVUKO CHA MV KIGAMBONI CHAKATIKA GATI NA KUZUA HOFU KWA ABIRIA DAR ES SALAAM.


Baadhi ya abiria waliokuwa wamepanda kivuko cha Mv Kigamboni wakiwa wamekumbwa na butwaa kufuatia kivuko hicho walichokuwa wamepanda kukatika sehemu ya kushukia abiria na Magari na kupelekea hofu kubwa miongoni mwao.


Kama uonavyo pichani baadhi ya abiria hao wakijaribu kujinusuru na hali hiyo,kwani kivuko hicho kilikuwa kimesheheni abiria lukuki

Abiria wakipewa maelekezo namna ya kushuka kwenye kivuko hicho.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...