Pages

December 20, 2015

KIWANDA CHA TANZANIA BREWERIES LIMITED MKOA WA ARUSHA CHATOA ZAWADI KWA WATUMISHI WA MUDA MREFU

Wafanyakazi wa kiwanda cha Tanzania Breweries Limited(TBL)mkoa wa Arusha waliofanyakazi wa miaka 10 katika kampuni hiyo wakiwa wameshika vyeti vya kutambua mchango wao na hundi.Waliosimama nyuma ni maafisa waandamizi wa TBL

Wafanyakazi wa kiwanda cha Tanzania Breweries Limited(TBL)mkoa wa Arusha waliofanyakazi wa miaka 15 katika kampuni hiyo wakiwa wameshika vyeti vya kutambua mchango wao na hundi.Waliosimama nyuma ni maafisa waandamizi wa TBL

Wafanyakazi wa kiwanda cha Tanzania Breweries Limited(TBL)mkoa wa Arusha waliofanyakazi wa miaka 20 katika kampuni hiyo wakiwa wameshika vyeti vya kutambua mchango wao na hundi.Waliosimama nyuma ni maafisa waandamizi wa TBL

Wafanyakazi wa kiwanda cha Tanzania Breweries Limited(TBL)mkoa wa Arusha waliofanyakazi wa miaka 25 katika kampuni hiyo wakiwa wameshika vyeti vya kutambua mchango wao na hundi.Waliosimama nyuma ni maafisa waandamizi wa TBL

Wafanyakazi wa kiwanda cha Tanzania Breweries Limited(TBL)mkoa wa Arusha waliofanyakazi wa miaka 30 katika kampuni hiyo wakiwa wameshika vyeti vya kutambua mchango wao na hundi.Waliosimama nyuma ni maafisa waandamizi wa TBL

Wafanyakazi wa kiwanda cha Tanzania Breweries Limited(TBL)mkoa wa Arusha waliofanyakazi kwa kipindi cha miaka 10 hadi 30 wakikata keki wakati wa hafla ya kwapongeza ilifanyika kwenye kiwanda maeneo ya Themi jijini Arusha.


Maafisa waandamizi wa TBL wakifurahia jambo na mmoja wa wafanyakazi wa muda mrefu mara baada ya kumkabidhi cheti na hundi huku akimskiliza kwa karibu Corperate Affairs Director wa TBL,Geogia Mutagahywa,kushoto ni Afisa Mwajiri ,Kissa Mwasomola.

Wafanyakazi wakijumuika kwenye hafla hiyo

Wana TBL mkoa wa Arusha wakifurahia jambo

Wakifatilia kwa makini 

Meneja Ufundi wa Kiwanda cha TBL mkoa wa Arusha ,Salvatory Rweyemamu(katikati)akifurahi jambo na wafanyakazi wenzake.

Mmoja wa wafanyakazi waliofanyakazi TBL kwa kipindi cha miaka 30 akifanyiwa mahojiano na waandishi wa habari na kusema amekua mtu mwenye furaha kufanya kazi katika kampuni hiyo.

Imeandaliwa na www.rweyemamuinfo.blogspot.com wa Arusha

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...