Zimebaki saa chache kushuhudia tukio la kuapishwa kwa Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, siku ya tukio hilo itakuwa tarehe 05 November 2015, Dar es salaam.
Zimenifikia picha pamoja na taarifa kutoka Ikulu kuhusu ujio wa Mhubiri wa Kanisa la Church of All Nations lililopo Nigeria, TB Joshua ambaye tayari ametua Dar.
TB Joshua amekuja kama mmoja ya wageni watakaoshuhudia tukio hilo la kuapishwa kwa Rais wa awamu ya tano wa Tanzania.
No comments:
Post a Comment