Rais
Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt
Jakaya Mrisho Kikwete aliyefika Ikulu jijini Dar es salaam kukabidhi
rasmi Ofisi ya Rais Novemba 12, 2015
Rais Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono kwa furaha na Rais Mstaafu
wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete aliyefika Ikulu jijini Dar es
salaam kukabidhi rasmi Ofisi ya Rais
Rais
Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Obeni Sefue alipofika Ikulu jijini Dar es
salaam kukabidhi rasmi Ofisi ya Rais
Rais Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza Rais Mstaafu wa Awamu ya
Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete aliyefika Ikulu jijini Dar es salaam
kukabidhi rasmi Ofisi ya Rais. Kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi
Ombeni Sefue
Rais Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete wakati akiongea kabla ya kukabidhi rasmi
Ofisi ya Rais Ikulu jijini Dar es salaam
Rais
Dkt John Pombe Magufuli akipokea kwa furaha hati ya makabadhiano ya
Ofisi kutoka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete
Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 12, 2015.
Rais
Dkt John Pombe Magufuli akiiangalia kwa furaha hati ya makabadhiano ya
Ofisi aliyoipokea kutoka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya
Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 12, 2015
Rais
Dkt John Pombe Magufuli, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho
Kikwete, Makiamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na Katibu Mkuu
Kiongozi baada ya hafla ya makabidhiano rasmi ya Ofisi Ikulu jijini
Dar es salaam kukabidhi rasmi Novemba 12, 2015
Rais
Dkt John Pombe Magufuli, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho
Kikwete, Makiamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan wakiondoka baada ya hafla ya makabidhiano rasmi ya Ofisi Ikulu jijini Dar es salaam kukabidhi rasmi Novemba 12, 2015.
No comments:
Post a Comment