Rais
Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Makatibu Wakuu, Manaibu
Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini Ikulu jijini Dar es salaam
kupanga mikakati ya kuendesha serikali kwa weledi, nidhamu na moyo wa
kupenda kazi.
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono Makatibu Wakuu,
Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini Ikulu jijini Dar es
salaam baada ya kukutana nao na kupanga mikakati ya kuendesha serikali
kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi.
Rais
Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono Makatibu Wakuu,

Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bwana Rished Bade na Makatibu
Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini Ikulu
jijini Dar es salaam baada ya kukutana nao na kupanga mikakati ya
kuendesha serikali kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi.
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono na Katibu Mkuu Utumishi Mhe HAB Mkwizu na Makatibu
Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini Ikulu
jijini Dar es salaam baada ya kukutana nao na kupanga mikakati ya
kuendesha serikali kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi.
Rais
Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono Makatibu Wakuu,
Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini Ikulu jijini Dar es
salaam baada ya kukutana nao na kupanga mikakati ya kuendesha serikali
kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi.
Rais
Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono Makatibu Wakuu,
Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini Ikulu jijini Dar es
salaam baada ya kukutana nao na kupanga mikakati ya kuendesha serikali
kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi.
Rais
Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono Makatibu Wakuu,
Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini Ikulu jijini Dar es
salaam baada ya kukutana nao na kupanga mikakati ya kuendesha serikali
kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi.
Rais
Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono Makatibu Wakuu,
Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini Ikulu jijini Dar es
salaam baada ya kukutana nao na kupanga mikakati ya kuendesha serikali
kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi.
Rais
Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono na Mwanasheria Mkuu wa
Serikali Mhe. George Mcheche Masaju na Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu
Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini Ikulu jijini Dar es salaam baada
ya kukutana nao na kupanga mikakati ya kuendesha serikali kwa weledi,
nidhamu na moyo wa kupenda kazi.Kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi
Ombeni Sefue.
Rais
Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja Makatibu Wakuu,
Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini Ikulu jijini Dar
es salaam baada ya kukutana nao na kupanga mikakati ya kuendesha
serikali kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi.
No comments:
Post a Comment