MKUTANO WA UKAWA KUMNADI MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA,GODBLESS LEMA WAFUNIKA ARUSHA LEO

Umati ukiwasikiliza viongozi wa Ukawa kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Ngarenaro jijini Arusha.

Makamu Mwenyekiti wa Chadema,Tanzania Bara,Profesa Abdallah Safari akionesha ishara ya Mabadiliko

Baadhi ya Madiwani wa Chadema jijini Arusha,mkoa wa Arusha wakifatilia kwa makini.

Baadhi ya Madiwani wa Chadema jijini Arusha,mkoa wa Arusha wakifatilia kwa makini.

Wananchi wakiwa kwenye mkutano huo


Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi(Ukawa)James Mbatia akihutubia

Post a Comment

Previous Post Next Post