Pages

November 27, 2015

BREAKING NEWS : RAIS MAGUFULI AMSIMAISHA KAZI KAMISHA MKUU WA TRA



Aliyekuwa Kamishna wa TRA Rished Bade
Rais John Pombe Magufuli amemsimamisha kazi kamishna wa mamlaka ya mapato TRA Bw.Rished Bade na kumteua Bw.Philiph Mpango kukaimu nafasi hiyo.
Taarifa kutoka ikulu zimesema kuwa uamuzi huo wa rais Magufuli umefuatia ziara ya waziri mkuu bandarini uliobaini upotevu wa makontena 349.
Aidha rais Magufuli amemtaka Rished Bade kutoa ushirikiano kwa Philiph Mpango wakati uchunguzi ukiendelea.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...