Mkurugenzi
Mkuu wa Bin Slum, Nassor Bin Slum akikabidhi funguo ya basi la kisasa
kwa Mwenyekiti wa klabu ya Mbeya City, Mussa Mapunda katika hafla
iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Ofisa Mawasiliano wa
Mbeya City, Dismas Ten. (Picha na Francis Dande)
Basi
la kisasa la klabu ya Mbeya City lililokabidhiwa na Mkurugenzi Mkuu wa
Bin Slum, Nassor Bin Slum kwa uongozi wa Mbeya City.
Mwenyekiti wa Mbeya City, Mussa Mapunda akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla ya kukabidhiwa basi la kisasa.
Mkurugenzi
Mkuu wa Bin Slum, Nassor Bin Slum akizungumza na waandishi wa habari
kabla ya kukabidhi basi la kisasa kwa uongozi wa Mbeya City.
No comments:
Post a Comment