Pages

October 4, 2015

WASANII WAKIWA KATIKA UBORA WAO DUNIANI HAWA HAPA

 

Wiki hii kwenye matukio ya picha InstagramKanye West alionekana na Vic Mensakwenye tamasha la Summer Ends Music FestivalNas alionekana akipokea tuzo kutokaChuo cha Havard, rapper Rick Ross alionekana akispend time na mchuma wake… wengine kama P Diddy walionekana wakila good life kwa kubadilisha ndege binafsi,Meek Mill na mpenzi wake Nicki Minaj walionekana wenye furaha wakiwa pamoja kwenye matukio mbalimbali.
HIP15
Rapper Wale.
Inawezekana baadhi ya mastaa niliowataja hapo juu unawafuatilia kwenye Instagram…lakini kama hupati time ya kutosha ya kufuatilia matukio yao mbalimbali, karibu ufidie kwa kuzicheki hizi picha 17 za wasanii wa HipHop Marekani na matukio yao wiki hii kwenyeInstagram.
HIP1
Kanye West & Vic Mensa (Caption: Summer Ends Music Festival 📷 @jakeosmun).
HIP2
Young Thug & Jaden Smith (Caption:YOUNG THUGS WORDS What you say LIL BRO?? @christiaingrey Photo by @beelbe)
HIP3
Rapper & Producer Nas. (Caption: Understand the Cipher #Havard)
HIP4
Meek Mill na mpenzi wake Nicki Minaj.
HIP5
Drake.
HIP6
Rick Ross na mchumba wake (Caption: This could be yall, but yall watching us. TheRoberts)
HIP7
50 Cent & Usher (Caption: I ran into USHER tonight we had a chance to kick it a little bit. EFFENVODKA FRIGO SMSAUDIO)
HIP8
Rapper Dej Loaf (Caption: Bae Text Me.)
HIP9
Rapper Future Hendrix (Caption: U do wat u want when u poppin…)
HIP10
Wiz Khalifa (Caption: Khalifa man and baddie.)
HIP11
Tyga.
HIP12
Meek Mill (Caption: It’s gone b a tragedy lol)
HIP13
Rapper Fabolous (Caption: One of the key’s to longevity is being able to weather the storms… Shot by @kodaklens CoorsLightStageSnow CLreFresh Charlotte YoungOG)
HIP14
P Diddy (Caption: IF I COULD DO IT YOU CAN DO IT!!! BUT YOUR GONNA HAVE TO WORK HARDER THAN A MOFO!!!!! letsgo letsgetit bluedot ciroclife HOWARD HOMECOMING! letsgo)
HIP15
Rapper Wale (Caption: Fxck the fame imma simple man . @orli_1st)
HIP16
French Montana (Caption: Swear to God will never change)
HIP17
Rapper 2 Chainz na mchekeshaji Martin Lawrence (Caption: Had a few laughs at the Martin Lawrence Show !!! Thanx a lot).

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...