Pages

October 5, 2015

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA, AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA LA KENYA MZEE JOMO KENYATTA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la heshima  katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Gwaride la heshima likipita mbele na kutoa heshima kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mkuu wa Majeshi ya Kenya Jenerali Samson Mwathete katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima wakati akikagua gwaride la heshima  katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa Mkuu wa Majeshi ya Kenya Jenerali Samson Mwathethe katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...