
Mgombea
Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk. Ali Mohammed Shein
akisalimiana na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia
Suluhu hassan baada ya kuwasili kwenye mkutano wa kufunga kampeni za CCM
uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar.
Mgombea
wa Urais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein akimsalimia Rais Mstaafu
Ali Hassan Mwinyi wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za CCM
uliofanyika kwenye Viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar leo. Wengine
ni Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, Makamu wa Pili wa Rais
Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi na Waziri Kiongozi Mstaafu, Shamsi Vuai
Nahodha
Mgombea
Mwenza Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimsikiliza
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk. Ali Mohamed Shein,
katika mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo katika viwanja
vya Kibanda maiti mjini Zanzibar.
Kijana
wa Kimasai anayeishi Zanzibar, akishangilia kwa dhati wakati wa mkutano
wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya
Kibandamaiti mjini Zanzibar.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Makamu wa Rais Dk.Mohammed Gharib Bilal
akihutubia mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye
Viwanja vya Kibanda maiti mjini Zanzibar
Rais
Mstaafu Ali Hassan Mwinyi akizungumza kwenye mktano wa kufunga kampeni
za CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar
Makamu
wa Rais Dk. Mohamed Gharib Blal akimpongeza kwa hotuba nzuri Rais
Mstaafu Ali Hassan Mwinyi baada ya kuhutubia mktano wa kufunga kampeni
za CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar
Dogo Aslay akitumbuiza wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo Kibandamaiti mjini Zanzibar
Shabiki
wa CCM akishangilia kiaina wakati wa mkutano wa kufunga kapnei za CCM
uliofanyika leo kwenye viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar leo
Mgomea
Mwenza wa Urais kwa tikei ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia
mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya
Kibanda maiti mjini Zanzibar. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO).
No comments:
Post a Comment