Jeshi
la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limewatia mbaroni majambazi sugu
38 wakiwa na silaha za kivita kwa tuhuma mbalimbali. http://youtu.be/Iw4G2yTtLXc
Mgombea mwenza wa uraisi wa CCM ahaidi kujenga na kuboresha skimu za umwagiliaji pamoja na kuondoa tatizo la maji wilayani Bayi.http://youtu.be/cmErc5QXrWY
Mgombea
uraisi Kupitia Chadema Edward Lowassa aendelea kunadi sera zake
wilayani Makambako huku akihaidi kuresha afya, na tatizo la maji. http://youtu.be/lksrCjT18jk
Wizara
ya sayansi na teknolojia yatangaza rasmi kuanza kutumika kwa sheria ya
makosa ya mtandao hapo kesho huku ikitoa tahadhari. http://youtu.be/psoGHFueeuw
Polisi
Mkoani Morogoro imewapandisha kizimbani watu 10 kwa tuhuma za kuchoma
kituo cha polisi pamoja na kula njama za kutenda kosa. http://youtu.be/LWfOIuMdtTs
Ukosefu
wa mafunzo ya udereva wa kujihami miongoni mwa madereva wengi hapa
nchini waelezwa kuwa sababu kubwa ya ajali za barabarani.http://youtu.be/oDSm8sR-Rr8
Mgombea uraisi wa CCM DR.Magufuli ahaidi kuondoa kero za wakulima mkoani Ruvuma huku akihaidi kuwapatia umemehttp://youtu.be/ SDEMXpHmt-s
Chama cha ADC chazindua kampeni zake za uraisi kitaifa katika viwanja vya Tangamano jijini Tanga. http://youtu.be/q9vLs7UpDjQ
Mgombea uraisi Kupitia Chadema Edward Lowassa aendelea kunadi sera zake Mkoani Njombe huku akihaidi kutatua migogoro ya ardhi. http://youtu.be/P5MUnVhmExw
Mgombea
mwenza wa CCM afanya mikutano ya makundi mbalimbali ya wanawake wa mkoa
wa Dodoma huku akihaidi neema kwa walemavu na wanawake wajasiriamali.http://youtu.be/Z1Wk4TgEEHI
Mgombea wa CCM ahaidi kupambana na Mafisadi pamoja na watendaji wazembe kazini endapo atachaguliwa kuwa raia wa Tanzania. http://youtu.be/1-6B3UUbNME
Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr. Willbroad Slaa avunja ukimya apanga kuongea na watanzania kupitia vyombo vya habari hapo kesho. http://youtu.be/rVxs43Ais68
Umoja
wa vyama vya katiba vya wananchi UKAWA wazindua kampeni zake katika
jimbo la Babati huku akihaidi maendeleo katika jimbo hilo.http://youtu.be/wgabm6dJj8w
Shirika
la umeme nchini Tanesco lakanusha kutumika kisiasa kuhujumu baadhi ya
vyama huku liki bainisha matengenezo yanayoendelea. http://youtu.be/urYUtHuOkZc
Mvutano
waripotiwa kuendelea katika umoja wa katiba ya wananchi UKAWA kuhusiana
na kusimamisha Mgombea mmoja jimbo la Mtwara mjini.http://youtu.be/2AGN1uWo4mQ
Katika
hali ya kusikitisha mtu mmoja akutwa amekatwa viungo mbalimbali vya
mwili wake ikiwemo nyeti katika chumba cha Hoteli mkoani Arusha.http://youtu.be/6irzDc7sKGQ
Chama
cha Mapinduzi CCM mkoani Dar es salaam chazindua kampeni zake za ubunge
na udiwani katika majimbo ya mkoa huo. Chama cha Mapinduzi Mkoani
Morogoro chazindua kampeni zake za ubunge na udiwani
katika kata za jimbo la Morogoro mjini. http://youtu.be/vrEU3QjlStw
Chama
cha ACT jimbo la Bukoba mjini chazindua kampeni za ubunge jimboni humo
huku kikiwataka wananchi kutochagua viongozi wenye migogoro.http://youtu.be/6Z4mYbPkKzs
Mgombea
uraisi Kupitia Chadema Edward Lowassa aendelea kunadi sera zake Mkoani
Njombe huku akihaidi kuondoa matabaka kati ya masikini na matajiri.http://youtu.be/ cVVj2r1mI-M
No comments:
Post a Comment