Mo
Lemon Mint imefika hadi Santorini, Greece! Umeifikisha wapi Mo soda
yako kutoka hapo Dar? Tutumie picha yako 'smile emoticon' ikichaguliwa
tutaiweka kwenye ukurasa wetu wa facebook.
Na Andrew Chale, modewjiblog
Kampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (METL GROUP),
imeendelea kufanya vizuri sokoni kupitia upande wa vinywaji vyake
mbalimbali vikiwemo: MO Cola, MO Portello na, MO Malt, MO Lemon Mint,
MO chungwa na MO Bomba (Energy drink).
Kupitia ukurasa wa Facebook wa MeTL GROUP, (https://www.facebook.com/MeTLGroup)
wamebainisha kuwa kampuni hiyo yenye kauli mbiu ya ‘The People’s
Brand’, imeendelea kuwa karibu na wateja wao ilikuweza kushirikisha
mawazo mbalimbali katika kufikia malengo ya kimaisha.
Mbali
na kushirikishana mawazo hayo na wateja wao waliopo kwenye ukurusa huo
maalum wa facebook, pia imeweza kutoa elimu na namna ya hatua za
kufuatwa kwa watu ikiwemo mazoezi, vyakula vinavyofaa kuliwa na mambo
mengine.
Pia
kupitia ukurasa huo wa facebook, wateja wameombwa kutuma picha zao
wakiwa na vinywaji kutoka MeTL GROUP, ikiwemo MO Bomba, MO Cola, MO
Lemon Mint, MO Portello, Mo Embe, MO Chungwa nakisha kutuma katika
ukurasa huo na 'Ku-SHARE'. Huku wakitakiwa kupiga picha na kinywaji
hicho na kueleza mahala walipo!
Huwezi kujua ukiwezacho mpaka umejaribu #UsikateTamaa
Vitu
vya kuzingatia na kuchukua unapoenda kufanya mazoezi ya viungo...mpango
mzima na MO Bomba iwepo kukuongezea nguvu na kukuweka na nguvu zaidi..
Mchezaji
bora wa Basketball MICHAEL JORDAN hakuchaguliwa kwenye timu ya
basketball kwenye shule yake ya Sekondari kwasababu alikuwa mfupi kuliko
wenzake. #UsikateTamaa





Post a Comment