Pages

September 23, 2015

LOWASSA ASIMAMISHA MJI WA MASASI ,MAMIA WAJITOKEZA KUMUUNGA MKONO


Mgombea wa Ubunge anaekubalika na wananchi wa Masasi kupitia Mwamvuli wa Chama cha Wananchi CUF, Ismail Makombe (Maarufu Kundambada), akizungumza machache na wananchi hao waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Boma,  Septemba 22, 2015.
 Mwenyekiti Mwenza wa Ukawa, Dkt. Emmanuel Makaidi akiwa ameambatana na Mkewe, wakiwasalimia wananchi wa Mji wa Masasi, Mkoani Mtwara Septemba 22, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akizungumza jambo na Mke wa Mwenyekiti wa Chama cha NLD, Dkt. Emmanuel Makaidi (kulia), Mama Modesta Makaidi, wakati wa Mkutano wa Kampeni,  uliofanyika kwenye Uwanja wa Boma,  Septemba 22, 2015.
 Sehemu ya Umati wa Wananchi wa Mji wa Masasi, Mkoani Mtwara wakiwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Boma, Septemba 22, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Masasi, Mkoani Mtwara, waliofikia kusikiliza sera zake katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Boma,Septemba 22, 2015.
Lowassa akiwasili uwanjani hapo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...