Pages

August 19, 2015

MKISI AIBUKA MSHINDI KWA MARA YA NYINGINE

Wafuasi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jimbo la Vwawa wakiwa wambeba juu Fanuel Mkisi mara baada ya kutangazwa mshindi wa kwanza, kura za Maoni kumpata mgombea Ubunge uliofanyijka jana katika kanisa la Moravian Mjini Vwawa. (Picha na Kenneth Ngelesi)
Mshindi wa nafasi ya kwanza uchaguzi wa marudio kura za maoni wa kumpata mgombea atakaye peperusha bendera ya chma cha Demokrasia na Mendeleo (Chadema) Jimbo la Vwawa Fanuel Mkisi akiwa juu ya gari huku akipunga Mikono kwa wafuasi wa chama hicho jana  mara baada ya kutangazwa mshindi wa kwanza kwa kupata kura 111.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...