Pages

August 5, 2015

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA(TCRA) YATOA ELIMU KWA WANANCHI KWENYE MAONESHO YA KILIMO NA UFUGAJI ARUSHA

Gari maalumu la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) likiwa kwenye uwanja wa maonesho ya Nanenane Njiro jijini Arusha,wananchi wanaotembelea banda la TCRA hupata elimu namna gari hilo linavyofanya kazi. 

Mmoja wa wananchi akipata maelezo kwenye banda la TCRA kwenye uwanja wa Taso ,Njiro jijini Arusha.

Afisa wa TCRA,Oswald Octavian(kulia)akimweleza jambo namna taasisi hiyo inavyofanya kazi ya kusimamia mawasiliano nchini.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...