Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini Priscus Tarimo akijinadi mbele ya wajumbe wa CCM kata ya Mawenzi. |
Baadhi ya wajumbe wa Chama cha Mapinduzi kata ya Mawenzi wakiwasikiliza wagombea. |
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Edmund Rutaraka akiomba kura mbele ya wajumbe wa CCM kata ya Mawenzi. |
Baadhi ya wajumbe katika kata ya Mawenzi. |
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Patrick Boisafi akiomba kura mbele ya wajumbe wa kata ya Mawenzi. |
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini Chief Omary Mwaliko akiomba kura mbele ya wajumbe wa CCM kata a Mawenzi. |
Omary Mwaliko akipongezwa na wanachama a chama hicho mara baada ya kutoa maelezo yake katika mkutano huo uliofanyika katika uwanja wa Hindu Mandal. |
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Davis Mosha aijinadi mbele ya wajumbe wa CCM kata ya Mawenzi. |
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Msohi mjini,Athuman Ramole maarufu kama Buni akiomba kura mbele ya wajumbe wa CCM kata ya Mawenzi. |
Baadhi ya wagombea wakisikiliza maelekezo kutoka kwa Katibu msaidizi wa CCM wilaya ya Moshi Donatha Mushi mara baada ya zoezi la kujinadi mbele ya wajumbe kumalizika. |
Watia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini wakiwa katika gari moja wakielekea katika kata nyingine kuomba kura. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
No comments:
Post a Comment