Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia Wananchi wa jiji la Mwanza waliojitokeza kwa wingi jioni ya jana.
Mgombea
Uraisi kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM),Mh.Dkt John Pombe
Magufuli akiwasalimia wanachama wa chama hicho pamoja na Wananchi wa
jiji la Mwanza na vitongoji vyake,nje ya ofisi za CCM mkoa,ambao
walijotokeza kumlaki kwa shange na furaha kubwa.Dkt Magufuli amewasili jijini Mwanza akitokea jijini Dar kwa ajili ya kujitambulisha kwa
wanachama wa chama hicho pamoja na wananchi kwa ujumla.
Mgombea
Uraisi kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM),Mh.Dkt John Pombe
Magufuli akiwasalimia wananchi alipokuwa akiwasili jijini Mwanza jioni
ya jana akiwa ameambatana na baadhi ya viongozi wa juu wa chama cha
CCM,Magufuli yuko jijini Mwanza kujitambulisha kwa Wananchi.
Mke
wa Mgombea Uraisi kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi Dkt.John Pombe
Magufuli,Mama Janeth Magufuli akiwasalimia Wakazi wa jiji la Mwanza na
vitongoji vyake waliojiotokeza kwa wingi kuwapokea,Pichani kulia ni
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza machache kabla ya
kumkaribisha Mgombea Uraisi kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi
(CCM),Mh.Dkt John Pombe Magufuli kujitambulisha kwa wanachama wa chama
hicho pamoja na Wananchi wa jiji la Mwanza na vitongoji vyake,nje ya
ofisi za CCM mkoa wa Mwanza.
Baadhi
ya Wananchi wakilikimbiza gari la Mgombea Uraisi CCM,Mh.Dkt John Pombe
Magufuli kwa shangwe kama waonekanavyo pichani ,wakati Magufuli
lipokuwa akiwasili jijini Mwanza kwa ajili ya kujitambulisha kwa
wanachama wa chama hicho pamoja na Wananchi kwa ujumla.
Baadhi
ya Wananchi wa jiji la Mwanza wakiwa wamefunga barabara kwa muda
wakishangilia ujio wa Mgombea Uraisi wa CCM,Mh.Dkt John Pombe Magufuli
alipokuwa akiwasili jijini Mwanza kwa ajili ya kujitambulisha kwa
wanachama wa chama hicho pamoja na Wananchi kwa ujumla.
kuna wengine waliacha kazi kwa muda kama hizi na kuja kwenda kushangilia ujio wa Mh.Dkt John Magufuli
Wananchi
wa Passians wakimpokea na kumshangila Mgombea Uraisi CCM,Mh.Dkt John
Pombe Magufuli alipokuwa akiwasili jijini Mwanza kwa ajili ya
kujitambulisha kwa wanachama wa chama hicho pamoja na Wananchi kwa
ujumla .
Baadhi ya Wanahabari wakiwa kazini.
Wananchi
wa eneo la kona ya Bwiru wakiwa wamezuia msafara wa Mgombea Urais
CCM,Mh.Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akiwasili jijini Mwanza kwa
ajili ya kujitambulisha kwa wanachama wa chama hicho pamoja na Wananchi
kwa ujumla.
Wananchi
wa eneo la kona ya Bwiru wakiwa wamezuia msafara wa Mgombea Uraisi
CCM,Mh.Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akiwasili jijini Mwanza kwa
ajili ya kujitambulisha kwa wanachama wa chama hicho pamoja na Wananchi
kwa ujumla.
Mgombea
Uraisi CCM,Mh.Dkt John Pombe Magufuli akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa
Mwanza Mh.Magesse Mulongo mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege
wa jiji hilo ,kushoto ni Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza
Miraji Mtaturu.
Mgombea
Uraisi CCM,Mh.Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa
Kagera,Mh John Monela mara baada ya katika uwanja wa ndege wa jiji la
Mwanza.
Mgombea
Uraisi CCM,Mh.Dkt John Pombe Magufuli alisalimiana na wafuasi wa chama
hicho wakiwemo viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Mwanza,alipowasili katika
uwanja wa ndege wa jiji hilo .
No comments:
Post a Comment