Pages

July 23, 2015

TAZAMA PICHA 10 ZA RAPA 50 CENT AKIWA MAHAKAMANI,WADAU WASEMA AMEFILISIKA KUTOKANA NA MAVAZI ALIYOVAA

50 cent akila kiapo
Rapa ameingia mahakani kujiu mashataka ya kusambaza mkanda wa ngono wa mwanamke mmoja aliyemrekodi huko marekani.Rapa hyuo aliingia mahakamani akiwa amevaa nuo za kawaida sna tofauti na ilivyozoleka kwa mastaa wengi
Akitoa maelzo mahakamani hapo




akiwa amevaa saa ya kimulimuli badala ya saa ya dhahabu

zamani alikuwa akivaa hivi saa za dhahabu na pete za thamani


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...