Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akilakiwa na Katibu Mtendaji wa Baraza la
Sanaa la Taifa (BASATA) Bw. Godfrer Mngereza alipowasili kujiunga na
familia na waombolezaji katika msiba wa mwanamuziki Ramadhani Masanja
"Banza Stone" Sinza Lion jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 18,
2015. Marehemu Banza Stone, aliyefariki jana mchana baada ya kuugua kwa
muda mrefu, amezikwa jioni hii katika makaburi ya Sinza. Marehemu Banza
Stone atakumbukwa kwa umahiri wake wa utunzi na uimbaji alipokuwa na
bendi mbalimbali zikiwemo Twanga Pepeta, Tot na Extra Bongo.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Ubungo Mhe. John
Mnyika alipowasili kujiunga na familia na waombolezaji katika msiba wa
mwanamuziki Ramadhani Masanja "Banza Stone" Sinza Lion jijini Dar es
salaam leo Jumamosi Julai 18, 2015.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitambulishwa kwa Katibu wa bendi ya TOT, Gasper Tumaini, ambako marehemu Banza Stone aliwahi kufanya kazi enzi za uhai wake
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akimpa pole kaka wa marehemu alipowasili
kujiunga na familia na waombolezaji katika msiba wa mwanamuziki
Ramadhani Masanja "Banza Stone" Sinza Lion jijini Dar es salaam leo
Jumamosi Julai 18, 2015.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa pole kwa wana familia na waombolezaji
katika msiba wa mwanamuziki Ramadhani Masanja "Banza Stone" Sinza Lion
jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 18, 2015.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akimfariji mama mzazi wa marehemu katika
msiba wa mwanamuziki Ramadhani Masanja "Banza Stone" Sinza Lion jijini
Dar es salaam leo Jumamosi Julai 18, 2015.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na kiongozi wa bendi ya African
Stars Twanga Pepeta Asha Baraka katika msiba wa mwanamuziki Ramadhani
Masanja "Banza Stone" Sinza Lion jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai
18, 2015.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akimfariji Haji Ramadhani Masanja, mtoto wa
marehemu katika msiba wa mwanamuziki Ramadhani Masanja "Banza Stone"
Sinza Lion jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 18, 2015.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na Haji Ramadhani Masanja, mtoto wa
marehemu katika msiba wa mwanamuziki Ramadhani Masanja "Banza Stone"
Sinza Lion jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 18, 2015.
Jeneza
lenye mwili wa marehemu Ramadhani Masanja "Banza Stone" likitolewa
nyumbani tayari kwa mazishi Sinza Lion jijini Dar es salaam leo Jumamosi
Julai 18, 2015.
Waombolezaji wakilia kwa uchungu wakati mwili wa Banza Stone ukipelekwa mazikoni
Mama
Salma Kikwete, Asha Barka na mama wa marehemu wakiwa na nyuso za huzuni
wakati mwili wa merehemu Banza Stone ukipelekwa mazikoni
Mama
Salma Kikwete akiagana na kiongozi na mwimbaji wa African Stars wana
Twanga Pepeta ambaye alifanya kazi kwa karibu na Banza Stone tokea
kuanza kwa bendi hiyo
Mama
Salma Kikwete akiaga waombolezaji katika msiba wa mwanamuziki Ramadhani
Masanja "Banza Stone" Sinza Lion jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai
18, 2015.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment