KAMATI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI(CC)YAKUTANA JIONI HII KUPATA MAJINA MATANO JIONI HII

Wajumbe wakiwa nje ya Jengo la Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi Dodoma kwaajili ya mikutano ya michujo ya watangaza nia wa chama hicho iliyoaanza leo.

Mwenyekiti wa CCM,Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu mjini Dodoma

Wajumbe wa kikao cha Kamati Kuu(CC)wakiwa kwenye mkutano huo leo,kutoka kushoto ni Rais Mstaafu wa awamu ya pili,Mzee Ally Hassan Mwinyi,Rais Mstaafu wa awamu ya pili,Mzee Benjamin Mkapa,Makamu Mwenyekiti wa CCM mstaafu,Pius Msekwa,Rais mstaafu wa Zanzibar,Aman Abeid Karume,Waziri Mkuu Mstaafu,Cleopa Msuya na Waziri Mkuu mstaafu,Dk Salim Ahmed Salim.




Picha ya pamoja ya waandishi wa habari mjini Dodoma wanaofatilia tukio la kinyang'anyiro cha kumpata mgombea wa CCM.

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni,Paul Makonda akipata maelekezo ya namna ya kutumia Kamera ya kisasa ya mmiliki wa Kajuna blog
Habari picha na www.rweyemamuinfo.blogspot.com

Post a Comment

Previous Post Next Post