Pages

July 27, 2015

Iphone 7 inakaribia kutoka… Designers wamejitengenezea hizi.

iphone 6 Kampuni maarufu duniani ya Apple ambayo imekua ikitoa bidhaa mbalimbali zikiwemo simu za mkononi za Iphone inatarajia kutoa na kulionyesha toleo jipya la simu za Iphone 7 September 2015 lakini mpaka sasa hivi kuna designers wameanza kujaribu kuitengenezea picha itatokaje.
Iphone 1
iphone 2
iphone 7
ph 3
ph 2
ph

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...