Pages

July 29, 2015

EDWARD LOWASSA NDANI YA CHADEMA .ATABIRI MAKUBWA

Mshimiwa Lowassa na Mkewe Regina Lowassa rasmi wamekabidhiwa kadi za CHADEMA kuudhihirisha umma kwamba yeye sio kada wa CCM tena.

Mheshimiwa Lowassa na mkewe Regina na viongozi wanaounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA kabla ya kuingia kwenye mkutano na waandishi wa habari na kueleza msimamo wake kisiasa.

Mheshimiwa Lowassa akiwa na viongozi wenzake wa UKAWA siku akihutubia wananchi na kutangaza rasmi kwamba amehamia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuwaomba wananchi wamuunge mkono.

Mheshiwa Lowassa akihutubia wananchi na kutangaza rasmi kwamba amehamia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuwaomba wananchi wamuunge mkono.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...