Pages

July 27, 2015

CHUO CHA TAIFA CHA UTALII WAZINDUA KIOTA CHA BURUDANI

Mkurugenzi Mtendaji wa Chuo cha Taifa cha utalii, Rosada Musoma akizindua kwa kukata utepe kiota cha burudani cha Goldbar and Restaurant katika chuo cha Taifa cha Utalii kampasi ya Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. 
Mkurugenzi kitengo cha Biashara wa chuo cha Taifa cha Utalii (NCT),Neema Chololo Kusiga akizungumza mara baada ya uzinduzi wa kiota cha burudani cha Goldbar and Restaurant kilichopo katika chuo cha Taifa cha Utalii kampasi ya Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. 
  Mkurugenzi Mtendaji wa Chuo cha Taifa cha utalii, Rosada Musoma akizungumza mara baada ya kuzindua Goldbar and Restaurant katika chuo hicho mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa chuo cha Taifa cha Utalii kampasi ya Bustani.
 Picha ya pamoja ya wafanyakazi wa Chuo cha Taifa cha Utalii kampasi ya Bustani mara baada ya kuzindua Goldbar and Restaurant katika chuo hicho uzinduzi uliofanyika katika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wana kamati ya Maandalizi wakiwa katika picha ya pamoja wakiongozwa na Afisa masoko wa Chuo cha Taifa cha Utalii, Waheeda Mohamed.
 Vitu vipatikanavyo katika Chuo cha Taifa cha utalii kampasi ya Bustani jijini Dar es Salaam.
 Bendi kitumbuiza katika uzinduzi wa
Goldbar and Restaurant katika chuo cha Taifa cha Utalii uzinduzi uliofanyika katika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
 Mkurugenzi kitengo cha Biashara wa chuo cha Taifa cha Utalii (NCT),Neema Chololo Kusiga akiwa na mfanyakazi wa chuo hicho.
 Afisa Manunuzi Mkuu wa Masoko wa chuo cha Taifa cha Utalii,Elizabeth Kasawara akiwa katika pozi mara baada ya
kiota cha burudani cha Goldbar and Restaurant katika chuo cha Taifa cha Utalii kampasi ya Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi Mtendaji wa Chuo cha Taifa cha utalii, Rosada Musoma akiwa na wafanyakazi wa Chuo cha Taifa.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...