Naibu
Mkuu wa Jeshi la Polisi D/IGP, Abrahaman Kaniki(katikati) akimuangalia
majeruhi wa tukio la uvamizi wa kituo cha Polisi Sitakishari konstebo
Gaston Shadrack alipokwenda kumjulia hali jana katika hospitali ya taifa
Muhimbili, askari huyo anaendelea na matibabu. Kushoto ni Kamishna wa
Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova. Picha Na Hassan
Mndeme-Jeshi la Polisi.
Naibu
Mkuu wa Jeshi la Polisi D-IGP, Abrahaman Kaniki(katikati) akimuangalia
majeruhi wa tukio la uvamizi wa kituo cha Polisi sitakishari konstebo
Gaston Shadrack alipokwenda kumjulia hali jana katika hospitali ya taifa
Muhimbili, askari huyo anaendelea na matibabu.
No comments:
Post a Comment